Recent content by Mutaajir

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kila mwaka Wanafunzi kuagizwa kuja na majembe na mafyekeo: Vya mwaka jana huwa vinaenda wapi?

    Kila mwaka shule nyingi za serikali huwa zinawaagiza wanafunzi kuja na vifaa kama majembe, mafyekeo, ndoo, mifagio na vifaa vingine vya usafi. Swali langu ni hili; ikiwa maagizo haya yanatolewa kila mwaka kwa wanafunzi wapya na hata wanaorejea shuleni, je, vifaa vya mwaka uliopita huwa vinaenda...
Back
Top Bottom