FREELANCERS
Uwe mkazi wa Morogoro au Dodoma.
Umri miaka 20 - 30.
Elimu kidato cha nne - kuendelea.
Kazi - kutafuta masoko ( wateja wa huduma zetu )
Kazi zetu ni Installation & supplying - Security systems, Tv systems, Domestic electrical n Other IT solutions.
Malipo ni kwa kazi, kuanzia 30,000...
Zinafungwa dish mbili, azam na dstv..
Hii inasaidia kuondoa wingi wa dish kama watumiaji wa azam wapo zaidi ya mmoja na dstv zaidi ya mmoja, lakini si kwa visimbuzi aina mbili tofauti kwa dish 1, mfano wa kawaida tu Dstv degrees 36 na azamtv degrees 7 HAVIHUSIANI.
Hii inawahusu wenye nyumba za kupangisha ama majengo ya biashara ( kupangisha kama Office n.k )
Kwenye swala la Visimbuzi, achana na kufunga dish nyingi kwenye nyumba/jengo moja, ambapo kunakuwa na uharibifu mkubwa wa jengo kutokana na kila fundi ana ufundi wake! badala yake ifungwe dish moja...
Tunauza vifaa vyote vya visimbuzi kama:-
1.Cable aina zote mf: HDMI, Coaxial, AV, Optical n.k
2. RF Modulator
3. Signal Amplifier
4. Spritters aina zote mf: HDMI spritter, RF spritter n.k
5. Receiver za HD
6. Connectors aina zote mf: F connector, Female n Male, HDMI Joints, Coaxial Joint n.k
7...
Tunafunga na kufanya marekebisho ya:-
Dish za visimbuzi vyote (FTA n Paytv)
Mifumo ya Tv Channels kwenye (Hotel, Apartment, Sportsbar, Office n.k)
Tunafunga CCTV cameras
Tunafunga Electric Fence
Tunauza Visimbuzi kama DStv, Azamtv pia tunauza vifaa vyote vya visimbuzi kama Dish, LNB, Cable n.k...
Hapa nalenga Visimbuzi vyote mf: Azamtv, DStv, Startimes n vyenginevyo.. ukizingatia karibu visimbuzi vyote vinatumia Adapter ingawaje vipo visimbuzi toleo la zamani ambavyo bado havitumii adapter.
Hapa nazungumzia vile vinavyotumia adapter, ikitokea kimezima ghafla sababu ikiwa pengine UMEME...
Utakuta Hotel nzuri lakini tv zake hazionyeshi channels vizuri ( chenga ) ama inaonyesha channel moja tu! Tunafanya repair na kufunga mfumo wa channels kwenye:- Hotel, Apartment, Sports bar na maofisini kwa idadi cha channels/visimbuzi utakavyo na kwenye tv zote zinakuwa clear kwa gharama nafuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.