Recent content by mussa_king

  1. mussa_king

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu wa kuagiza magari befoward

    Maana mi nilinunua Lexus IS 200 kwa $1000 kuisafirisha $1000 Total duty TRA 6150000 the nikaripa on time but ilipo fika wakati ilipo fika wakati tuna wa port hapo ndipo heart attack ilipo anzia mpaka mwisho wa siku nilijikuta nimegaramia total amount kuanzia manunuzi mpaka gari kua barabarani...
  2. mussa_king

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu wa kuagiza magari befoward

    Vipi nyie watu port mmeweka hapo maana port yetu sometimes grama ua kubwa kuzidi Durt afu port ndio ua kuna heart stack maana hesabu zao ua upewi figa yote utashangaa leo umeambia kuna hiki kesho ukambiwa lipia kitu farani kesho tena ukambia storage
Back
Top Bottom