Recent content by Mussa65

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Taa za Kuongoza magari eneo la Serengeti, Temeke ni Mbovu

    Habari wana JF Kuna changamoto ya taa za kuongezea magari eneo la Serengeti (Temeke), Taa ya kuongoza upande wa usalama kuvuka kwenda keko, taa ya kijani (Green light) haiwaki kwa muda. Watu wa mamlaka walishughulikie kabla hakujatokea maafa.
Back
Top Bottom