Recent content by Mussa dauda Mussa

  1. M

    Namna ya kuibadili shule kuwa International school

    Zamani ulikua mkoa wa mbeya sasahivi ni Songwe hivyo nimefanya kurahisisha ila ipo Songwe
  2. M

    Namna ya kuibadili shule kuwa International school

    Habari ndugu zangu tupo na shule yetu inaitwa WILLIAM BRANHAM PRE AND PRIMARY SCHOOL ipo Mbeya - Mkoa wa Songwe Tunduma tupo kwenye mikakati ya kuifanya iwe international school. Naombeni ushauri na mawazo hatua mbali mbali za kufuata ili tuweze kuifanya international school ili niweze kushare...
Back
Top Bottom