Recent content by Muslih

  1. Muslih

    JamiiForums Aliyemshauri Rais aende kwenye uzinduzi badala ya kuaga miili ya askari alikosea sana

    Haya kakojoeni mkalale ,maana mbowe yeye malaika hakosei.
  2. Muslih

    JamiiForums Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    hiyo ni njaa muulizeni amewahi kusupport jambo gani la serikali? huo ni upinzani wa kizamani badilika.
  3. Muslih

    JamiiForums Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Sababu ya yote yanayotokezea dhidi ya RC Makonda ni hatua yake ya kujitoa muhanga kuhusu madawa ya kulevya. hivyo kila linalotokezea dhidi yake haliungwi mkono na wengi sababu ni madawa ya kulevya. Watanzania badilikeni musiwe wanafiki Mwenyezi Mungu anakuoneni na kukujueni nia kuliko...
  4. Muslih

    JamiiForums Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    wewe nyamaza maneno gani hayo vyombo vina nini wewe unalindwa na nani ktk hii .acha post za kiupuuza kama huna la kuongea usitumue jukwaa kuleta chokochoko.
  5. Muslih

    JamiiForums Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    uctudanganye kibogoyo mr presedent hujampa kura yako usijidai
  6. Muslih

    JamiiForums SAFARI YA MWISHO YA Ariel Sharon

    Kumbe alikuwa katili sana sharon?
  7. Muslih

    JamiiForums Msaada wa dawa kwa anayejua

    Mimi naijua ila muombe ruhusa mumeo kwanza!
Back
Top Bottom