Dah...Kwanza nakupa heko mwalimu! Mlikuwa wapi siku zote ?
Mimi ni Mfanyabiashara hapa Moshi. Kuna siku rafiki na mfanya biashara mwenzangu alitoka Nairobi na kushukia moja ya hotel hapa Moshi ambayo nimeizoea na nimezoeana pia sana na wahudumu hasa Muhudumu counter. Na ndio sababu marafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.