Recent content by mushi0763

  1. M

    SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    nimejaribu kusoma chanzo icho ila kina hitaji umakini mkubwa sanaa na pesa nyingi sanaa, ingawa ni umeme wa uhakika
  2. M

    SoC02 Aibu zetu, vilio vyetu

    hakika andiko zuri sanaa, sema heading haikuweka waz kma unalenga wasomi ila naamini wengi watapata moyo na kuelimika kwa hili, hakika umepambana na ipo cku mtu atatoa shuhuda kabadilika pitia andiko hilo, naamini utakua mshindi wa pili wa shindano baada ya andiko langu naamini ntakua namba moja...
  3. M

    SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    upo sahihi, maana njia ya maji na mabadiliko haya ya tabia ya nchi inakua ngumu sana, Tanzania iyo nyuklia ipo ya kutosha na technologia yake kwenye gharama ipo vip
  4. M

    SoC02 Niliolewa Bikira ingawa nilianza kuuza Bar tangu nikiwa na miaka 14

    kwani unahisi kinachofanya mabinti wa sasa kushindwa ni kip
  5. M

    SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    kama mabadiliko yatatokea ukose maji kwaajili ya kilimo cha miwa utapata vipi ya kuzalisha umeme kwenye vyanzo vyetu, pia ni rahisi kiwanda kuchimba hata maji sababu faida hawaipati kwa kuuza tuu umeme maana ata sukari ni faida, maji kwaajili ya kilimo cha miwa ni kdgo kuliko ya kuzalisha umeme,
  6. M

    SoC02 Sensa kwa sasa haina umuhimu wala faida kubwa kwa maendeleo ya tanzania zitumike njia mpya kupata idadi ya raia kupunguza gharama

    hakuna upotoshaji wowote na pia nafaham vzuri sensa ndo maana nmeweka wazi faida ipo ila ni ndogo sana kwani hakuna uhaba mkubwa wa takwimu zilizo chelewesha serikali kufanya maendeleo yake pasipo sensa, idadi ya wanafunzi inafahamika imetumika vip kutatua tatizo la madarasa na waalimu...
  7. M

    SoC02 Sensa kwa sasa haina umuhimu wala faida kubwa kwa maendeleo ya tanzania zitumike njia mpya kupata idadi ya raia kupunguza gharama

    utofauti mkubwa upo kwenye namna wanayotumia kupata idadi ya watu, sis tunatumia njia ya zamani na yenye gharama kubwa
  8. M

    SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    kabisa, maana gharama za ujenzi wa bwawa la nyerere unaweza kuwekeza kwenye viwanda vingi vya sukari na kufunga iyo mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia mabaki ya miwa,
  9. M

    SoC02 Sensa kwa sasa haina umuhimu wala faida kubwa kwa maendeleo ya tanzania zitumike njia mpya kupata idadi ya raia kupunguza gharama

    idadi ya wafungwa inafahamika siku zote ni kubwa kuliko uwezo wa magereza zetu, kipi kimefanyika? idadi ya wanaojiandikisha kidato cha kwanza na darasa la kwanza inafahamika, je wamejenga madarasa au hawajui takwimu, mengine yanabaki siasa tuu na ndo maana nmesema sensa haina faida kubwa, means...
Back
Top Bottom