kama ccm wanataka serikali 2 sasa iwe zamu ya Tanganyika kuwa na serikali,tumechoshwa kusimamiwa mambo yetu na muungano. Piga uwa tanganyika itapatikana tu hata kwa upanga msitutawale kimabavu-kama mnaupenda muungano iwe serikali tatu kama tatu hamtaki hii ni zamu ya tanganyika kuwa na serikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.