Nyumba sio ndogo hiyo mkuu,hapo umeona picha ya upande mmoja tu wa Nyumba,kama unahitaji ni PM nikurushie picha zaidi na ikiwekana upata nafasi ya kuja kuikagua.
Nyumba ya kisasa yenye room nne za kulala(pamoja na master) ipo ndani ya fence ikiwa na huduma zote muhimu kama Umeme na Maji inapangishawa,ipo maeneo ya Matembele ya pili kivule mita 200 kutoka barabara kuu ya banana kivule inayopigwa lami.kodi ni 250,000 kwa mwezi. Mawasilino piga namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.