Recent content by Musachawenyu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliachiwa huru ndio maridhiano yakafanyika. Kwanini kwa Lissu wanalazimisha maridhiano ndio aachiwe?

    Kwa hiyo CCM hawako tayari kwa maridhiano?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliachiwa huru ndio maridhiano yakafanyika. Kwanini kwa Lissu wanalazimisha maridhiano ndio aachiwe?

    Sahihi kabisa. Kesi ya mchongo imekuwa mchongoma
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliachiwa huru ndio maridhiano yakafanyika. Kwanini kwa Lissu wanalazimisha maridhiano ndio aachiwe?

    Kama wana ushahidi ni muhaini si kesi iendelee na apate hukumu? Mbona wanarukaruka kama maharage?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliachiwa huru ndio maridhiano yakafanyika. Kwanini kwa Lissu wanalazimisha maridhiano ndio aachiwe?

    Ushauri mzuri. Kama ana makosa wamnyonge na kama wana mashahidi basi kesi iendelee.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliachiwa huru ndio maridhiano yakafanyika. Kwanini kwa Lissu wanalazimisha maridhiano ndio aachiwe?

    Basi wataogopa kuchungulia nyeti zao maliwatoni ili kuzisafisha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliachiwa huru ndio maridhiano yakafanyika. Kwanini kwa Lissu wanalazimisha maridhiano ndio aachiwe?

    Umuofya kwenu? Mjadala wangu kwa leo ni mfupi sana kama ulivyo katika mada. Kwamba Samia aliingia madarakani kisha Mbowe akakamatwa kwa kesi waliyosema ni ya ugaidi. Baada ya takribani miezi 8 akaachiwa huru. Siku hiyo hiyo aliwakimbia Makamanda waliofika nyumbani kwake kumpa pole kupitia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

    Na mume wake Halima anatimkia wapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

    Kwa hiyo anaendelea kuchukua mshahara kama Mbunge wa Chadema hadi August 3? Ila hawa hawajui jinsi wana CCM waliowakuta walivyowapania.
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchakato wa CHAUMMA kupata mgombea Urais nchini kuanza

    Ben 10 wa Esther Matiko 🤣🤣🤣
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

    Kuna wanachadema waliohama siku za nyuma Esther aliwaambia njaa ndio zimewapeleka huko. Sasa sijui yeye nini kimempeleka yeye huko CCM.
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

    Ndio maana wanasema anameza Luku
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

    Sahihi kabisa. Atayepita ndio mgombea
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

    Nafikiri mmeona sasa kafika ofisi za Chama.
Back
Top Bottom