Bro karibu sana. Umejitambulisha vyema kuwa we ni fundi. Samahan kaka, unaweza kunisaidia hili. TV yangu aina ya Singsung ilikuwa sawa tu nikawa nimepata nyingine nikaacha kuitumia kwa takriban miez 2. Nilipoichukua juzi nataka kuitumia inagoma kuwaka. Ilijitahidi tu ikawaka kwa dakika 8 tu then...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.