Recent content by Munyaaho

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mwezi ujao si wiki ijayo fresh tu tulipotoka ndo mbali
  2. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Me nazani marks wanakuwa nazo siku ile ile ya oral hizo factors nyingine zinakuja watu wakigongana marks kuwa jinsia fulani au mlemavu sio issue kama kuna mtu ana marks nyingi kuna kazi ilikuwa inataka watu wawili walikuwa watatu wanaumme wawili na mdada mmoja na wakapita wanaumme wote wawili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    wakati huo huo unaendelea na issue nyingine kama zipo
  4. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hio ingesaidia sana sio hii unasubili kibubu unasubili miezi minne unajipa moyo kumbe ushakandwa siku ile ile.
  5. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yes inabidi uwepo tu kwenye mazingira
  6. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Though last time walituandikia oral interview ni saa moja asubuhi ila mimi niliingia saa moja jioni na tulikuwa watu wanne tu kwenye hio post
  7. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    wanaweza kujivumilia wao wakichelewa sio wewe! wahi mapema though saa moja ikukute pale.
  8. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hayuko mtandaoni sasa🥺
  9. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    😂😂😂
  10. M

    Bora hata katibu mkuu angekuwa insta naye tumtag ajuwe watu tumechoka sasa
  11. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Haiwezi kufika January kweli make kuna mtu anasema amesubili miezi saba!
  12. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kweli aise soon🤗
  13. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hio soon sijui ni wiki ngapi sasa😂😂😂
  14. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    PSRS ukiwapigia simu saa hizi wanapokea, ukiuliza kuhusu matokeo anasema kuweni na subira hivi karibuni mtafurahi
Back
Top Bottom