Recent content by Munira Almasi

  1. M

    Habari na Picha: Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania ulivyofana.

    I do have the same feeling. Mkuu Masanilo long time sana kamanda.
  2. M

    Habari na Picha: Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania ulivyofana.

    naona umekuwa PR wa ACT. Hongera sana mwanaCCM
  3. M

    Habari na Picha: Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania ulivyofana.

    duh ajabu na kweli ibakuwaje watetezi wakubwa wa ACT ni wana CCM? Kuna siri gani hap?
  4. M

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Ww mburula acha upuuzi; we susa tu japo pia hukuwahi kuchangia
  5. M

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Daah Ujumbe wako huu nimeupenda mdada; hakika change inanihusu, inakuhusu, inatuhusu. Lazima nichangie
  6. M

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    safi sana; very creative. Watanzania wote shime tuchangie ukombozi. Wana- diaspora popote tulipo na sie tuchangie juhudi hizi, tukomboe taifa letu
  7. M

    Tundu Lissu apambana dakika 125

    Lissu Allah akupe ulinzi na maisha marefu. Endelea kumtegemeza ktk hekima na kumfahamu yeye aliye Mkuu Sana
  8. M

    Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

    Hongera sana Mh GODBLESS lema kwa utumishi wa mfano kwa wananchi wa Arusha mjini. Big up sana comrade
  9. M

    CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    Kama ulivyogaidi hadi kwa ndugu zako siyo eeh
  10. M

    CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    Unajua mkuu hizi kukuru kakara za magamba kwenye huu uzi ni hasira walizo nazo CCM ya kulizwa pesa na mission ikawa aborted prematurely. CCM inawauma sana. Na utashangaa watetezi wkubwa wa msaliti huyu zitto ni maCCM. Maajabu ya karne
  11. M

    CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    Mfyuuuuuuu ovyoooo! Hata huoni haya na mouth diarrhoea yako
  12. M

    CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    aiseew we jamaaa una akili sana; yaani namimi nilikuwa nawaza hivyo.
  13. M

    CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    Ha ha ha haaaa daaah alooo hadi raha. Sasa wanasubiri nini si wachape lapa tu? ovyoooo
  14. M

    CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    Duuuh mkuu acha kuabudu watu; simamia principles na taasisi. Binadamu hawaaminiki aloooo
  15. M

    CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    Well said; huo ndio ukweli mkuu
Back
Top Bottom