Recent content by mundu mkongwe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Call for interview Erolink

    panda gari linalokwenda mwenge shika moroco airtel chukua bodaboda hadi office zao zilipo ni 1000 tu ukitumia bodaboda.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Call for interview Erolink

    course yoyote unaweza kupeleka. ila inabidi uwe tayari kufanya kazi yoyote itakayolewa sio lazima iwe customer care
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za mahakama ya Tanzania, ambao hawakuwa kwenye orodha ya usaili wapangiwa vituo vya kazi

    ninavyofahamu kazi ikitangazwa inashindaniwa na wale watakaoomba ila kwa wale watakaofanya vizuri lakini hawakuajiliwa ndo majina yanawekwekwa kwenye kanzi data na kazi nyingine ikitokeo wanaitwa moja kwa moja kuepuka gharama za kurudia usaili.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    jeshi la polisi wametoa form za kujiunga kwa form six kwenye web yao nenda kale maisha mdogo wangu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Call for interview Erolink

    asante mkuu lufuo nimeshafanya interview na nimefaulu training inaanza leo ijumaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Call for interview Erolink

    nibora ya hawa ya erolink wanaita kwenye interview recruitment agency nyingine ukipeleka cv sahau kabisa kuitwa kwenye interview ingawa wanabana kwenye payment ila bora kukomaanao huku unaangalia michongo mingine kuliko kushinda kijiweni na watu wasionda shule yaaan huambulii kitu siku nzima
  7. M

    JamiiForums Tanzania Call for interview Erolink

    kha! wanakata zaidi ya nusu ya mshahara
  8. M

    JamiiForums Tanzania Call for interview Erolink

    asante mkuu Tamalisa ndio nasubiri paper sasahivi nitaleta report baadae.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Call for interview Erolink

    kwani vodacom customer care ni sawa na call center agent? nilishawahi kupiga tempo ya call center agent finca kiukweli hii kazi ni ngumu sana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Call for interview Erolink

    asante mkuu. sasahivi niko home tu ngoja nikapate ka experience
  11. M

    JamiiForums Tanzania Call for interview Erolink

    Nilipeleka CV erolink week iliyopita leo nimepigiwa sim nikafanye interview ya vodacom customer care. Najua wapo wadau humu waliowahi kufanya interview pale.naomba dondoo muhimu kama mshahara wa vodacom customer care, majukumu ya customer care!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Shirika la Viwango

    naona bado hamjanielewa nafasi zilizowekwa hapo na mdau zipo 30 na zilishatangazwa kitambo sana. nafasi mpya zilizotangazwa zipo 200 ambazo deadline ndo hiyo uliyoionyesha hapo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TPDC, May 2015

    Hawa jamaa kama hauna mtu ni ngumu sana kupata kazi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya marafiki wapya na nafasi ya kutafuta kazi

    very nice!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Shirika la Viwango

    nafasi ni zaidi ya 30 mkuu rejea comment yangu hapo juu
Back
Top Bottom