Habari ya saizi namshukuru Mungu kesi yangu imefanikiwa kuisha baina yangu na mke wangu, maana alitakiwa kupeleka mashahidi hakuweza kufanya hivyo sasa nipo huru na maisha yangu
Naomba msaada' mke wangu amenipeleka mahakamani kwa kosa la kutaka kumchoma bisibisi jambo ambalo si kweli na tarehe 18 anapeleka mashahidi nipeni njia ya kuwauliza maswali hao mashahidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.