Recent content by MUNDIA

  1. M

    Je, nikihitaji kusoma upya degree ya 2 ya HR au Public Administration, nitatumia miaka miaka 3 tena?

    Ndio nawaza nikisha soma hii post graduate diploma je kweny mfumo wa ajira wa Tanzania hii ipo au maana sijawahi kuona kazi inayo muhitaji mtu mweny hii kazi au wanaitwaje hawa watu kweny ajira hasa za serikali
  2. M

    Ushauri: Nataka kubadili taaluma ya elimu

    Naomba kuuliza kiongozi kwenya maswala ya ajira hasa za serikali hii postgraduate diploma wanaajiriwa? Au nafasi zao zikitoka zinaitwaje?
  3. M

    Ushauri: Nataka kubadili taaluma ya elimu

    Naomba kuuliza kiongozi kwenya maswala ya ajira hasa za serikali hii postgraduate diploma wanaajiriwa? Au nafasi zao zikitoka zinaitwaje?
  4. M

    Je, nikihitaji kusoma upya degree ya 2 ya HR au Public Administration, nitatumia miaka miaka 3 tena?

    Yaan nina maana ya kwamba nilisomea shahada uongozi na utawala wa Serikali za mitaa ila hii imeku ngumu kuitwa interview kuliko Human Resource management na Public Administration, kuna watu wamenishauri nisomee hii POSTGRADUATE DIPLOMA moja kati ya POSTGRADUATED DIPLOMA IN HUMAN RESOURCE au...
  5. M

    Je, nikihitaji kusoma upya degree ya 2 ya HR au Public Administration, nitatumia miaka miaka 3 tena?

    Shukran kiongozi kwa majibu yako, mm ni Kk kaangalie ajira za utendaji zinavyo toka kwa lvl ya diploma kwa kozi hii hii nilio somea but upnde wangu shida nina over qualifications
  6. M

    Ufafanuzi wa kozi kwa walio soma arts Kama vile HKL, HGL na HGK wanaweza kusoma chuo kikuu

    Hii kozi ya Local government Administration and Management mm nimesoma lkn imekua km jihanamu Hmn ajira kbsa nimekaa kitaa mwaka sasa ila post ya ajira zake zimetoka nafas 2 tu sishauri mtu kusoma cz ht mataasis binafsi hawaijui so kupta nafas huko lbda ushikwe mkono
  7. M

    Je, nikihitaji kusoma upya degree ya 2 ya HR au Public Administration, nitatumia miaka miaka 3 tena?

    Ndugu mm nilisoma HKL Nikataka somea sheria au Maswala ya Video and sound engineering kwa diploma ila nikaletewa ushaur kwamba kozi hii ni mpya niisomee cz kwa lvl ya diploma yake ina ajira so mpka ku establish degree yake uhitji utakua mkubwa lkn at the end of the day mambo yamekua magumi ila...
  8. M

    Je, nikihitaji kusoma upya degree ya 2 ya HR au Public Administration, nitatumia miaka miaka 3 tena?

    Mimi ni muhitimu wa shahada ya LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION AND MANAGEMENT kutoka chuo cha serikali za mitaaa mwaka 2023 Nimekuwa nikiahangaika kuomba ajira hata sekta binafsi katika ngazi ya HR na Administration ila imekua ngumu lakini kwa ngazi ya serikali pia imekua ishu mpka leo nili...
Back
Top Bottom