Kweli Kabisaaa Mkuu Upo Sahihi Sanaa Hata Sisi Maafande Walituambia Tumezingua Sanaa Ilitakiwa Tuwe Wapole wotee tungepiga pepa moja la oral na written Mambo ya forensic bureau kwenye kusahihisha kule wangetubeba Tuuu
Lkn ndo hivyo watu ubishi mwingi na ujuaji mpaka wakaamua kututenganisha.
Sasa Kujua Kama Umekatwa kibangala au lah ni Ngumu Sana kwasababu kila Hatua unayopita wanarekodi Taarifa Zako kwenye karatasi Zao.
Nadhani Baadae sasa Ndo wanafanya analysis kwahiyo kotee hukoo inatakiwa Ufanye Vizuri I mean ukizi vigezo vyao,
Kama pdf Imetoka na jina lako hujaliona means kuna...
Mimi nitatoa Tu General Experience na pia nitagusia Kada ya IT kwasababu Mimi pia ni IT.
Mwaka Juzi nilishiriki Usahili Hapo Barracks Kurasini, I mean intake waliomaliza hivi Karibuni CCP Moshi tulikuwa nao kwenye Usahili.
Kwa Idadi Degree Wotee Tulikuwa Kama 600+ hivi Ila upande wa IT kama...
Na Mimi ni kama Wewe Tu Bado Lakini Kuna Wadau Niliwacheck ambao tayari wamefanyiwa usahili wanasema Kuwa ni maswali ya Kawaida Sana
Mfano
Difference between data and information
Describe the concept of CPU
Define Cache
Explain four functions of operating system
Yan Kwa kifupi wewe komaa na...
Hiyo Ni nadharia Mkuu Wala usiwe na presha.
NBS hawawezi na hawana muda wa kuhakiki kuwa huyu MTU ni mkazi wa Kata husika Kwa Namna yoyote ile hasa ukizingatia muda umeenda Sana.
Na ndo maaana ili Zoezi la uhakiki linafanywa Kwa kiasi kikubwa na Watendaji wao ndo kila Kitu.
NBS wao uhakiki wao...
Mkuu Hiyo Copy Haina Ishu Sanaa.
Labda Kama Mtendaji Ataamua kukaza, na inaweza ikawa ndo Sababu ya kupunguza Watu kwenye Usahili Lakini kama Mtendaji upo nae Vizuri hakuna Tatizo kikubwa jina lako lirudi katani na Mtendaji kula nae sahani moja Basi.
Mkuu ni Hela ndogo Sana Hiyo hawawezi kutoa hiyo pesa.
Yan wakifanya Hivyo tutakuwa tumepigwa Sanaa.
Yan Hapo Hamna Hamna Haiwezi Kupungua 1M kuanzia mafunzo mpaka Zoezi la Sensa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.