Recent content by mummylicious

  1. mummylicious

    Nilikua nakaa nae lakini hajanioa, nimeondoka nakaa kwangu ananinunia

    naona hamjaelewa kitu hapa,hamna anaewaza ndoa xaxa,mm mwenyewe cko tayar bdo,ni in lv season,nnachotafuta ni lugha ya kumwambia acnifkirie vbaya nnavohama kuridi kwangu,hatujagombana,wala hatujachefuana,bdo ni wapenzi tena tunapendana sana,sema hataki niondoke,na mm nataka nkae mwenyewe,hvo na...
  2. mummylicious

    Nilikua nakaa nae lakini hajanioa, nimeondoka nakaa kwangu ananinunia

    Nilikua nakaa nae, ila hajanioa, nimeamua kuondoka, ntafute kwangu, niishi kivyangu, japo bado nampenda na kumuheshimu kama mpenzi wangu,ananikasirikia na ananinunia,na hajanioa ila hataki nikakae mwenyewe,eti anadai nataka uhuru wa nini? Nifanyaje na bado nampenda ila siwezi endelea tumika...
  3. mummylicious

    Akilewa anaanza kuongea maneno ya ovyo, je kuna mapenzi hapo?

    Akilewa huwa anaongea mambo mabaya sana juu ya mpenzi wake, akiwa sobber huonyesha kumjali kumpenda na kuwa karibu nae, akinywa ni tofauti kabisaa, binti anakosa raha. Afanyaje? amini kipi?
  4. mummylicious

    Nogesha sherehe yako

    Kwa uhitaji wa MC mashuhuli na mburudishaji wa uhakika,kwenye kitchen parties,send offs,harusi,birthday parties,engagement parties,graduations + family parties,na communions,ambae ataendesha shuhuli yako kisasa zaidi na hutojutia piga 0674842476.makazi ni Dar ila mikoani unafatwa pia kwa bei...
  5. mummylicious

    Mpende mtoto wako

    jaman,tarehe 12/9/ ,pale DFI karbu na kunduchi,kutakua na ka party ka watoto wa umri wote,kuna swimming pool ya size ya watoto wote mpaka miaka 2,kuna michezo ya umeme,bembea na creative games,pia icecream itakua bure cku hyo kwa watakao wai ..fanya mlete mwanao aenjoy pesa ya mzazi wake.
  6. mummylicious

    Mpende mtoto wako

    Tunaandaa party ya watoto wadogo na wakubwa,itafanyika DFI.kutakua na michezo mbalimbali kwaajili yao. Maelezo zaidi piga 0674842476
  7. mummylicious

    Mke wangu hajawai kuniomba tendo la ndoa, yapata miaka sita tangu tufunge ndoa

    Kwa nin wewe usimuombe, ? Yawezekana anapenda kushukiwa co kujishusha..
Back
Top Bottom