Recent content by mulanKE

  1. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya

    Kundi la vijana limeandamana mjini Nairobi, Kenya leo Juni 20, 2024 kuishinikiza serikali kufuta mapendekezo ya muswada wa sheria ya kodi, ambao wanadai hauna tija kwa wananchi. Vijana hao wamedai muswada huo haukushirikisha wadau wengi wakiwemo wanasiasa, ili uweze kujadiliwa kwa maslahi ya...
  2. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Multi Choice pekee kuchukua matangazo ya uapisho wa Rais Mteule Ruto na kusambaza kwa wengine

    Naona hamjaelewa mbona imetokea hivyo..ruto alionya media houses zote ziwe huru na kutoegemea upande mmoja ,kama vile citizen tv walifanya during election siding with azimio...na kama wataegemea upande mmoja wanapaswa kuwa fare..every media house must be independent ,they should not be the mouth...
  3. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo Messo: 10 year-old Kenyan arrives at the Arsenal academy

    Kuwa baba yake basi umpee hiyo jina
  4. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo Messo: 10 year-old Kenyan arrives at the Arsenal academy

    Messo used to play for West Ham's academy. He's part of the latest scholarship intake at Hale End.
  5. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujamaa system bana, sasa ni marufuku kwa Watanzania kufanya "jogging" siku za Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili

    Nadhani anamaanisha something close to half marathon....like what we have in kenya mata heart run...but ukikimbia pekee yako morning..who will you bloke...opened for clarifications..
  6. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mean While; Tanzania is Testing the SGR

    kwenye picha naona bendera ya tz na China...nilidhani hamkuchukua deni
  7. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzia:Bosi Wa SafariCom Kenya Amefariki!

    Pole bro
  8. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila la kheri Taifa stars "dhahifu", dhidi ya timu bora kabisa ya Senegal

    Niko nyuma ya Tanzania...Jana nilishabikia Uganda wakashinda....ikifika Kenya vs Tanzania that's another story..but today I think Senegal watajiona favorite's kwa hii mechi, Tanzania watacheza na roho yao yote,watakuwa makini sana kwa sababu wanajua vile kikosi cha Senegal ikona wanachezaji...
  9. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Train ya TZ SGR - imeshaonja konyagi

    Kweli internet ikona mambo lol
  10. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani zetu, mbona hatuwaelewi??

    Mnatoa wapi hizi vitu... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Museveni afika Nairobi baada ya kusafri kwa SGR

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wewe Ni mavi Sana.. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya or Tanzania forum

    True kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya or Tanzania forum

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] pia nimi nimejaribu kuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya or Tanzania forum

    You are not making any point Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mulanKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya or Tanzania forum

    Umeelewa hii thread kweli.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom