Recent content by mulaga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Korona imeiokoa Serikali (Mtazamo wangu)

    Eti mamiradi mengine yanafanywa si kwa faida ya walipa Kodi wa sasa eti kumuenzi mtu aliyepita ambaye aliishi dunia iliyopita ambae kizazi cha sasa akimjui na wala hakina haja ya kumjua ili kiishi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Korona imeiokoa Serikali (Mtazamo wangu)

    Mungu akitaka kumshusha chini mwenye kiburi umuondolea maarifa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Korona imeiokoa Serikali (Mtazamo wangu)

    Hio sounds ipo tu hata corona isingekuwapo, muhimu wafanyakazi wajiongeze tu October
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Ukitenda wema umewekeza kwenye uzao wako.Vivo hivo mabaya
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Sote ni maiti watarajiwa kwann tubaniane pumzi
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Watu wema wanaondoka wanabaki watu waovu wasio na faida duniani hapa ndipo uweza wa Mola auchunguziki
  7. M

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja kakamatwa na Polisi, adaiwa kumtukana Rais. Kusafirishwa kwenda Dar

    Itabidi tununue vinasa sauti vya kupima matusi ya kimoyomoyo ili tuwape uhujumu uchumi ili tupate pesa ili hii tabia ya kutukana watu kimoyomoyo ikome
  8. M

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja kakamatwa na Polisi, adaiwa kumtukana Rais. Kusafirishwa kwenda Dar

    Ukiwa mtumishi wa watu na unalipwa na watu then ukikosea utaki kukosolewa au kuelimishwa pisha wengine kakune nazi au kachunge au kalime tikiti waachie wafanyakazi wengine ili kazi iende.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja kakamatwa na Polisi, adaiwa kumtukana Rais. Kusafirishwa kwenda Dar

    Ukiwa na moyo mwepesi ufai kuwa baba,maana mtoto akikukojolea tu ngumi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja kakamatwa na Polisi, adaiwa kumtukana Rais. Kusafirishwa kwenda Dar

    Tofautisha Utawala wa kidemokrasia na Utawala wa kikomunist.Mwanademokrasia ukamilishwa na hoja mkomunist ukamilishwa na polisi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja kakamatwa na Polisi, adaiwa kumtukana Rais. Kusafirishwa kwenda Dar

    True tuongeze bidii Sana kusifu mungu wetu upenda sana kusifiwa tukiongeza bidii Sana kusifu na kupongeza ndivo mateso yetu yatakavyozidi pungua. Nataka nifanye maandamano ya kuunga juhudi za kujifukiza sema mikusanyiko hairuhusiwi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja kakamatwa na Polisi, adaiwa kumtukana Rais. Kusafirishwa kwenda Dar

    Hapo uhujumu uchumi unahusu kabisa tena hakimu upigilia kabisa ili apate promotion,uoni waliowashughulikia wapinzani walivo lamba teuzi.Maana mbongo mbele ya pesa au teuzi utu baadae. Hakimu aliyemfunga sugu aliteuliwa ujaji akiwa amestaafu. Hizo kesi polisi na mahakimu uzipenda Sana ndizo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja kakamatwa na Polisi, adaiwa kumtukana Rais. Kusafirishwa kwenda Dar

    Watawala wa kiafrica ni unmatured, uncivilized.wanadili na vitu vidogovidogo mfano kuwashughulikia wapinzani wako bize mitandaoni kusaka wakosoaji.Wenzetu wako bize na issues Wala huwezi kuta polisi hata anahangaika na wwe wanakuona sawa na mtu kichaa tu
Back
Top Bottom