Recent content by Mukose

  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba Businde Kigoma

    Kama ww sio mnunuzi,niunganishe na muhitaji. Ni muhimu sana mauziabo kwa muda huu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba Businde Kigoma

    Wanunuzi mjitokeze tumalize biashara. Utafurahia ni nyumba kubwa sana, hiyo bei ukifika utaona kuwa umeuziwa ndogo sana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba Businde Kigoma

    Udongo kipindi cha mvua na picha imeukoleza sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba Businde Kigoma

    Hatutakosana kwa mteja siriaz. Nami nina uhitaji sana kwa sasa
  5. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba Businde Kigoma

    Ukipiga gharama inapita ndugu. Kuoauwa tu ni 7.8 Milion. Ujenzi hadi ilipofika ni zaidi ya mil 15. Kiwanja n.k ni zaidi ya mil 2. Maongezi yapo lakini. Hapo pamejengwa Sink la maji pipa 80, umeme, maji ya KIUWASA. Inazidi sana ndugu. Ila mteja wa haraka tunakubaliana nimuuzie tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba Businde Kigoma

    Wanaishi watu ndio maana tumeziba
  7. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba Businde Kigoma

    Niliomba jina Kozaa walifute naona bado inasumbua
  8. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba Businde Kigoma

    Inauzwa ipo Businde nyuma ya airport Kigoma mjini. Bei 25,000,000 0689616537 Vyumba 4, kimoja masters, sebule kubwa, dinning, jiko,stoo. Kiwanja 18 kwa 25.
  9. M

    JamiiForums Tanzania KWA ANAEJUA GARI AINA YA VEROSSA

    KWA ANAEJUA GARI AINA YA VEROSSA ANIPE ELIMU MAANA NAONA KAMA NI GARI NZURI KWA MTAZAMO.ALIYEWAHI KUITUMIA ANIAMBIE ILIVYO
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa anayezijua gari ndogo, ni ipi ina uwezo wa kwenda masafa marefu?

    Ahsante sna kwa kweli ubarikiwe
Back
Top Bottom