Recent content by muketa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku Dr. Slaa akiongea

    Wana JF tusizungumzie watu. Vyama vya siasa vinavyowapa nafasi za uongozi mafisadi hakika hata vingekuwa na 'sera' na 'mifumo' ya maendeleo, 'Safari za Matumaini/ Uhahika/ Mabadiliko/ Mageuzi/ nk) ni ndoto za alinacha. Watanzania makini waviweka pembeni vyama hivyo. Mchumia tumbo ni adui wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    La msingi si 'mtu' ila ni 'Chama' gani kina mikakati ya mshiko na kutekelezeka kufunga milango ya mafisadi papa wanaorudisha nyuma maendeleo ya nchi huku wakijineemesha. Udanganyifu wa maneno jukwaani (mfano "nachukia umaskini") hauna nafasi katika siasa kwa Watanzania kwa sasa.
Back
Top Bottom