Recent content by Mukala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada chuo cha Muhimbili

    Namaanisha malipo ya kufanya application mkuu siyo selection, yaani ameshindwa kukamilisha kuomba nafasi ya kusoma kwa sababu ya hiyo sehem ya kupata control number za kulipia tangu tarehe 15 mpaka leo inaandika hivo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada chuo cha Muhimbili

    Habarini ndugu zangu Nina kijana wangu kaomba chuo cha muhimbili tangu tarehe 15 mwezi huu lakin kwenye kupata namba za malipo imeandika please wait mpaka leo, najaribu kuwapigia simu hawapokei kabisa. Kuna namna hili naweza kusaidiwa kulitatua? Natanguliza shukrani zangu
Back
Top Bottom