Recent content by Mujib Abdullah

  1. Mujib Abdullah

    SoC04 Ujumbe kutoka katika mamlaka ya fikra huru

    Enyi watoto wa Kambarage ndimi ni mgeni wenu kutoka katika mamlaka ya ufahamu na utimamu wa kifikra, kwa hekima na uluwa nimetumwa kwenu niwaeleze kuwa kama mnataka mabadiliko ya kweli ndani ya miaka 25 ijayo basi mzingatie sana kuitibu changamoto ya afya ya akili ili muwe na kizazi chenye...
  2. Mujib Abdullah

    SoC04 Kuna hadithi ya Tanzania ya kikanda kwenye nadharia ya Tanzania tuitakayo

    Hakika uhuru wa kanda katika masuala ya kimamlaka na kimaamuzi utaleta chachu ya mgawanyo wa rasilimali na uchumi shindani
  3. Mujib Abdullah

    SoC04 Kuna hadithi ya Tanzania ya kikanda kwenye nadharia ya Tanzania tuitakayo

    Na sanidi andiko hili kwa masilahi sufufu ya ardhi hii ambayo ndio chimbuko la Chifu Mkwawa, asili ya Chifu Mirambo, alipozaliwa Chifu Kimweri na Mtemi Isike na ndio taifa liongozwalo na Chifu Hangaya. Kwenye taswira za nchi nyingi zilizofanikiwa nyuma yake kuna nguzo iitwayo Nadharia ya...
Back
Top Bottom