Habari wana JF, katika kujitafuta kimaisha nataka kuingia mbeya kununua nafaka kwa wauzaji wa jumla.
Natamni kujua Faida ya hii biashara, Changamoto zake na pia Fursa zilizopo kwenye hii biashara.
Pia ningependa kujua kwa Mbeya nianzie wapi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.