Recent content by muhuwesichimalamyasi

  1. muhuwesichimalamyasi

    Comfirmed; Mechi ya Simba Vs Kagera imeahirishwa kutokana na wachezaji 16 wa Simba kuugua mafua

    Hapo ndipo penye umuhim wa kuruhusiwa kusajili wachezaj 30.Kwa hyo mbungi lipigwe tu.Janja janja ya mikia hyo
  2. muhuwesichimalamyasi

    Ali Kiba aizungumzia Wasafi Bet, asema yeye hana mpango wa kufungua kampuni ya betting kwa sababu dini yake hairuhusu, hajajua kuhusu dini ya Diamond

    Ally lazma awe muungwana.Kinachokuwa kipo nje ya uwezo wake aseme tu.Hilo sina uwezo nalo mbona watu tutamuelewa? Km vp afungue tv na redio hapo tutajua kuwa kwel kamari dini yet hairuhusu.Kukubali kushindwa ni uungwana pia.
  3. muhuwesichimalamyasi

    Maulidi Kitenge vs Salehe Jembe, Oscar Oscar na wengine

    Katka waandish wenye mahaba na simba moja kwa moja basi ni salehe jembe.
  4. muhuwesichimalamyasi

    Simba Vs Yanga weka ubashiri wako hapa

    makolo wanafungwa goli tatu kwa moja
  5. muhuwesichimalamyasi

    Yanga ikianza na chama hili,Simba hatoboi

    kwa simba hii niliyoiona inakata pumzi na geita na inakata pumzi na red arrows.Kesho makolo kufungwa ni km umuhm wa binadam kula chakula km ana afya njema
  6. muhuwesichimalamyasi

    TFF wanaidekeza sana timu ya Simba kuliko Yanga

    Mm sijajua simba wanawakataa mkataba wa gsm kwa kuwa hawakushirikishwa au wanaukataa mkataba kwa kuwa gsm ni wadhamin wa yanga pia?
  7. muhuwesichimalamyasi

    GSM waahidi milioni 116 yanga ikiifunga Simba

    Kwa simba hii mbovu ya galaxy au ya geita.Ni bora ijumaa wachezaj wapewe hela yao kabisa wagawane
  8. muhuwesichimalamyasi

    Kweli Simba inapigwa vita nimeamini

    acha uongo usajili ni mchakato.Na ndio maana kuna maskauti wa kuwafuatilia wachezaj.Na ndio maana ulaya hakuna majaribio ya mchezaj zaid ya kumpima afya tu.
  9. muhuwesichimalamyasi

    Kweli Simba inapigwa vita nimeamini

    Wewe acha kujichanganya.Simba msimu huu inawachezaj weng wabovu.Hata usajil mpya.Ni mchezaj gan mpya angeanza kwa perfomance ya wachezaj wa simba wa msimu uliopita? Ukubali ukatae thimba mbovu.
  10. muhuwesichimalamyasi

    Sakata la Martin Saanya na Nguvu za Wachambuzi Wa Soka Bongo

    Kwa mtazamo wako ww.Lile ni goli halali au sio goli halali?
  11. muhuwesichimalamyasi

    Kimueumana: Djuma na Aucho out Yanga

    Makolo fc itc cio kitu kikubwa cha kubebwa na winch au kuwa inaweza kuchelewa ndege. Ni jambo dogo la kubonyeza batani za kompyuta tu. Kwa hyo msimalze maneno yote.Weken mengne ya akiba
  12. muhuwesichimalamyasi

    Jua namba za jezi yenye heshima zaidi kwenye timu mbalimbali

    Halaf jezi namba 13 baadhi ya timu hawaitumii
  13. muhuwesichimalamyasi

    Njooni tumuombe msamaha Mo kwa yote yaliyotokea

    Kwa hyo hata la luis miqiusone lipo?
  14. muhuwesichimalamyasi

    Kumkaribisha Haji Manara Jangwani Ni Kosa Kubwa Sana!

    Kwa hili mm km mwananchi gsm na hajji manara wamenichanganya sana
Back
Top Bottom