Umeongea vyema sana mdau.Yan bila hili watoto walikuwa wanalizwa ..kisingizio serikali ilozidisha watumiashi kadhaa ambao hawakuwa kwenye bajeti ya malipo.Swali linakuja kwanin ofis ya mkurugenzi isitumie mapato ya ndan au Oc kuwalipa hao waliokuwa hawapo kwenye hio pesa iliyotoka juu kuliko...
Huwezi kujua wanangara wote.Pia hakuna mahali DMO katajwa, pesa hazitoki kwake.ILa shukran tumejua kumbe naye kahusika katika hili kupitia wewe.
Ishu iko addressed kwa mkurugenzi, jifunze kujibu hoja husika.
Habari ,
Watumishi ajira mpya ya Mwaka 2024 wamelipwa hela zao za kujikimu flat rate nchi nzima lakini Halmashauri ya Wilaya ya Ngara inawalazimisha Watumishi hao kusaini siku 5 tu na pia chini ya kiwango.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ngara acha wizi, lipa vijana pesa zao.
Mbunge wa Ngara...
Ulishasema Daresalam, ndio CHF huko ni elfu 70,huku ni elfu 30....wajawazito ni exemption na watoto chini ya miaka 5, wakienda hospital ya rufaa hapo ndipo atachangia kidogo...vinginevyo hatakiwi kulipa hata mia labda kama sehemu ya kutolea huduma hawana vifaa ataombwa akanunue....mengine ni...
Huyo wa zamani ni mbaba mtu mzima walimuamisha , yan kituo cha afya kama cha baba yake.Mjamzito na mtoto chini ya miaka mitano ni exemption hawalipii kitu labda kama wakienda hospital ya rufaa pekee huko wanaweza changia matibabu
YAH: MALALAMIKO KWA NIABA YA WANANCHI WA RUSUMO KUHUSU HUDUMA DUNI KATIKA KITUO CHA AFYA RUSUMO
Kwa heshima na taadhima, mimi, kwa niaba ya wananchi wa Rusumo, nawasilisha malalamiko yafuatayo kuhusu changamoto kubwa tunazokumbana nazo katika Kituo cha Afya Rusumo, ambazo zimekuwa kero kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.