Recent content by Muhammed alfaris

  1. M

    JamiiForums Tanzania Darasa: Maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika!

    Umenikumbusha kitu , mungu mmoja nafsi tatu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Zanzibar hawajui Hussein Mwinyi anawapeleka wapi

    Kaondosha usultan wa makomred wa ccm Zanzibar na watoto wao. Angalau karudisha heshima kati ya muajiri na muajiriwa. Kaondosha khofu ya kuishi ktk jamii angalau wana lala bila ya wasiwasi majumbani mwao.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ukistaajabu ya Spika Ndugai na Utanganyika utayaona ya Rais Samia na Uzanzibar?

    Ni kosa la jinai kufananisha Zanzibar na Jimbo, kama vile kogwa. Kwa hakika umepotoka, Zanzibar ni nchi huru iliyoungana na ndugu zao Tanganyika wakaunda Taifa jipya Tanzania yenye serikali mbili, Zanzibar Ina haki zake ktk muungano kwa mujibu wa sheria, Ina mgao wake wa 21%. Usiitazame...
Back
Top Bottom