Recent content by muhabarishaji

  1. muhabarishaji

    How to Send an Email to a Phone Number

    Email is one of the most essential communication tools we have today. Almost everyone has an email account to send and receive messages to their personal and business contacts. What most people don’t know is how to send an email to a phone number. This can be useful for various situations...
  2. muhabarishaji

    Eratosthenes: Mwafrika mwenye asili ya Ugiriki alipima mzunguko wa dunia kabla ya Kristo

    hapana huyu alikuwa mgiriki aliezaliwa libya kwasababu zamani wagiliki walishaanaga kufanya utawala kwenye nchi mbali mbali hivyo yeye alizaliwa kwenye nchi ya libya ambako wagiriki wa kale walikuwa wameweka tawala zao kingine hakudumu huko alienda misri kwa maswala ya kiualimu Sent using Jamii...
  3. muhabarishaji

    Eratosthenes: Mwafrika mwenye asili ya Ugiriki alipima mzunguko wa dunia kabla ya Kristo

    huyu ni mzaliwa wa libya Sent using Jamii Forums mobile app
  4. muhabarishaji

    Eratosthenes: Mwafrika mwenye asili ya Ugiriki alipima mzunguko wa dunia kabla ya Kristo

    Eratosthenes wa Kirene alikuwa mtaalamu wa hisabati, jiografia, historia na lugha tena mkurugenzi wa maktaba ya Aleksandria katika Misri. Anakumbukwa hasa kama mtu wa kwanza aliyekadiria mzingo wa dunia. Anasemekana aliibuni neno "jiografia". MAISHA YA MWANA JOFRAFIA HUYU Erastothenes alizaliwa...
  5. muhabarishaji

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    Mwaka 1501-1504 Mchongaji maarufu wa sanamu wa kule italia Michelangelo alipewa kazi ya kuchonga sanamu ya Daudi na familia ya kitajiri ya nchini Italia katika mji wa Florence. Kwa kuwa Michelangelo alikuwa maarufu kwa kazi hizo kitendo hicho kilivutia hisia za wengi kutaka kuona...
Back
Top Bottom