So, what have I got: three people. One saying utaipata na utajuta kutu-criticise. Mwingine anasema ana "criminal record" yangu (kwi kwi kwi!). Mwingine anatishia "you are in for a treat silly". And all are CHADEMA people. The reason: they got a little wake-up call kwamba kuna upande wa pili wa...

Anakuwa tishio kwa Mbowe na soon wataanza kumfanyia fitna kama walivyomtoa Shaibu Akwilombe na Amani Walid Kaburu.
No wonder kuna siku hapa JF mtu mmoja alipo-suggest kuwa yeye ndio awe kiongozi wa CHADEMA huyu bwana aliomba kauli ifutwe mara moja kwasababu anajua madhara yake. Kwikwikwi!
Fikiraduni,
Wewe sasa unalazimisha tembo afanye gymnastics. Ukiondoa Kitila, katika hawa jamaa hakuna mwenye intellectual stamina ya kupitia documents zote mbili na kuchambua hoja kwa hoja. Hapa ukileta headline ya Kulikoni ndio wao wanajitumbukiza. Mwanakijiji akisema kaonge na Meddy...
Judy, nimefanya yale masahihisho with context. Nilikuwa namrekebisha Bwana Philemon Mikael, kiongozi mwenye dhamana kubwa katika jamii yetu, na ambaye watu wanadai he is extremely intelligent lakini anadai kuandika "rainball" badala ya "rainbow" ni kuteleza vidole. Caught him on stupidity...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.