Waungwanae; mimi mwenyewe naona ni vizuri mazanzibaaaaariiiiiiii! WAJITOE TU. Kwani naona wanaleta vitisho visivyokuwa na msingi. Siku muungano ukivunjika,wao ndio watakao umia zaidi kuliko Tanganyika. Ukifanya utafiti mdogo tu sasa hivi, utagundua kuwa biashara ya zanzibar inategemea sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.