Atusaidie tufahamu maana Mimi mwenyewe nimeandika barua ya kuhamisha michango yangu kwenda kwenye mfumo wa uchangiaji wa hiari. Je nitafahamu vipi kuwa michango yangu imeshahamishwa maana ni mwezi Sasa sijapigiwa simu yeyote na PSSSF
Naomba kuuliza mkuu ikiwa umeomba kuhamisha michango yako ya Psssf kwenda mfumo wa uchangiaji wa hiari. Baada ya kukaa miaka miwili bila ajira na miezi 20 bila ajira toka upate fao la kukosa ajira je? inachukua muda gani kuhamishwa? na inawezekana pesa yako kuwekewa moja kwa moja au hadi uanze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.