Recent content by mufuture

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Niliposema baba sikusema aje alipe ada ya mwanangu wala ambebe mwanangu mgongoni wala afanye jukumu lolote linalonihusu aisee as father figure anaweza kumuongoza kwa miongozo ya as yeye ni mwanaume vijana wanahitaji ushauri and staff like that I'm responsible nimelea mwenyewe mtoto wangu when it...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Aksante sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Umenifurahisha hii umri haupungui mi mkubwa sasa na napenda kiasi kuwa na mwanaume aliyenizidi umri pia japo ya Mungu ni mengi na yeye ndio mpangaji wa yote
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Ni kweli kikubwa makubaliano and heshima
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Aksante [emoji120][emoji120][emoji120]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Aksante sana[emoji120][emoji120]
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Aksante [emoji120][emoji120]
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Kwanini your too young au?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Aksante
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Ndio yupo hai
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Aksante na Allah akubariki[emoji120][emoji120]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Ice breaker unahitaji kufahamu nini zaidi nikujibu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    ???
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Mi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake. Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi...
Back
Top Bottom