Recent content by mudytawaleni1802

  1. mudytawaleni1802

    Vita kunyamaziana

    Mimi vita ya KUNYAMAZIANA Sijawahi lose kabisa ,, Ukijifanya bubu ,, Mimi najifanya marehemu kabisa 💯 #@mudytawaleni1802 ✍️
  2. mudytawaleni1802

    Matukio katika jamii zetu, Mabinti wawili wakipiga story ndani ya daladala

    Ya zamani inachangamoto kidogo ila kwa sasa hiyo ndy account yangu mpya .. nitakuwa wapost nakala zangu zote endelea kufatilia pia mudytawaleni1802
  3. mudytawaleni1802

    Matukio katika jamii zetu, Mabinti wawili wakipiga story ndani ya daladala

    Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala: Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ? Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄 Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔 Binti 2: Awe milionea ..! 🙄 Binti 1: Je asipopatikana ? 🤔 Binti 2: Awe japo na laki tano ..! 🙄 Ghafla mvuta bangi mmoja akiwa kajilaza...
Back
Top Bottom