Zasaizi jaman mimi ni kijana wa umri wa miaka 21 nahishi kinondoni taaluma yangu ni maswala ya HOTEL.
Nina uzoefu wa mwaka mmoja na nili waihi kufanya kazi JaNGWAN SEA BREEZ,SLEEP WAY na sasa npo home cna kazi namimi ndo tegemeo sasa nyumba kutokana kuna matatizo yaliikuta famil yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.