Recent content by Mudrik Makas

  1. Mudrik Makas

    JamiiForums Tanzania Tatizo la tumbo kujaa gesi na kupelekea mara kwa mara kutoa hewa chafu linahatarisha ndoa yangu

    Jamani nimepitia Coment zenu zote kwamakini pamoja na zile za waekezaji ila kiukweli naona kwangu limekuwa tatizo zaidi nimekuwa nikisumbuliwa sana na gesi wakati wa usiku naskia njaa sana na koo kukauka kabisa halafu chembe cha moyo kuniuma sana yaani chini ya kifuwa kwakweli hata nguvu za...
  2. Mudrik Makas

    JamiiForums Tanzania Dawa nzuri ya kutoa gesi na miungurumo tumbo

    Mimi na nsaumbuliwa na kiungulia na gesi hasa usiku naskia njaa sana
  3. Mudrik Makas

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu solar PV and solar pumps

    Naomba ufafanuzi mimi nina Panel Watt 40 na nina betrii watt 26 nina taa nane na nina charge sim 6 kwa siku je matumizi yangu ni sahihi kwa siku?
Back
Top Bottom