Recent content by MTZ 255Dar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Imekuaje Kenya kuingizwa katika Mgogoro wa Tanzania na Malaw?!

    Analysis yako ni butu na inaonesha unaipendelea China kwasababu ya chuki zako kwa Trump,nadhani ni baada ya wahamiaji haramu(Hasa Weusi may be ukiwemo wewe) kuanza kupigwa vita na utawala wa Trump. Eti, watu ukiwabana basi watatafuta Alternative. Kwahiyo unadhani China ndio atatafuta...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rwandan girls only

    "Ninataka msichana mrembo ambaye anaheshimu, anapenda na yuko tayari kwa ndoa. Mimi ni mtu ambaye niko tayari kuishi kwa upendo, amani na uaminifu. Kama uko tayari kwa safari hii ya maisha, ninakukaribisha tuongee. Niko Tanzania, na msichana ambaye utakubali kuleta kwenye familia atakuwa mke wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania WASHINGTON: Mataifa zaidi ya 50 yamesema yapo tayari kuondoa vikwazo kwa bidhaa za Marekani

    Mataifa zaidi ya 50 duniani yamesema yapo tayari kujadiliana na Marekani juu ya kuondoa vikwazo vya kibiashara kwa bidhaa za Marekani zinazoingizwa katika mataifa hayo. Hii inakuja baada ya Marekani kuongeza ushuru wa asilimia kadhaa kwenye bidhaa zinazouzwa nchini Marekani kutoka mataifa yote...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

    VIDEO: Vituo vya kuzalisha umeme nchini YEMEN vikiteketea baada ya Israel kufanya mashambulizi ya Anga. https://youtu.be/5mptcsf2z9w?si=qbZsrahbaj2KMMTT
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

    VIDEO: Matenki ya Mafuta yakiteketea katika mji mkuu wa Yemen SANAA baada ya jeshi la Israel kufanya Mashambulizi Makubwa. https://youtube.com/shorts/SsrOKDDFYjw?si=iZ19is135PVtnEYH
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

    Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA. Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua umeme na Makao makuu ya jeshi la wanamgambo wa HOUTHI. Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Damascus: Shambulizi la anga la Israel lasababisha tetemeko la aridhi nchini Syria

    Leo,Israel imefanya shambulizi la anga kwenye kambi ya jeshi la Urusi katika mji wa TARTUS imesababisha mtikisiko mkubwa wa Ardhi ambao umesikika umbali wa Kilometa 800. Wataalamu wa kijeshi wanasema,huenda mlipuko huo umesababishwa na Vilipuzi vilivyokuwa vimehifadhiwa mahali hapo. Jeshi la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gaza: Mpango wa amani kati ya Israel na Hamas uko karibu kufanikiwa

    Matumaini mapya ya kusitisha vita vya GAZA yaanza kuonekana mara baada ya Wapatanishi (Misri na Katari) kueleza kuwa, kundi la wapiganaji la HAMAS limebadili Msimamo wake wa awali wa kutotoa orodha ya mateka walioko hai mpaka sasa. Kundi la wapiganaji la HAMAS limekubali wanajeshi wa ISRAEL...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Damascus: Urusi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake nchini Syria kwa msaada wa Uturuki

    Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria. Video kadhaa zimeonesha msafara wa magari ya kijeshi ikiwemo mifumo ya ulinzi wa anga aina ya S-300/400, Vifaru aina ya T-64 na Magari...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tel Aviv: Israel yaendelea na mashambulizi nchini syria

    Majeshi ya Israel yakiendelea kuteka maeneo ya kusini mwa Syria ambayo yanapakana na Milima ya Holan https://youtu.be/YKyluCOoYcM?si=BZEQ1_pJ-A5rednF
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tel Aviv: Israel yaendelea na mashambulizi nchini syria

    BREAKING NEWS Mashambulizi ya Israel Mjini Damscus yaliyolenga Kituo cha kutengeneza Silaha cha Iran yamewaua Watu 48 na kuwajeruhi zaidi ya 100,jeshi la Israel limesema linachunguza tukio hilo. Uturuki imeisihi Israel kujizuia kufanya mashambulizi nchini Syria kwani Serikali ya waasi bado...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tel Aviv: Israel yaendelea na mashambulizi nchini syria

    https://youtu.be/mazAvEqRTpY?si=J_h6ZLVdNzurvO0s
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tel Aviv: Israel yaendelea na mashambulizi nchini syria

    Jeshi la Anga la Israel, Israel Air Force(IAF) linafanya mashambulizi ya anga mbalimbali nchini Syria,hii ni baada ya Serikali ya rais Bashar Al Assad wa Syria kuangushwa na Waasi wa Hayat Tahirir Al-Sham(HTS) ambao wanaungwa mkono na nchi ya Uturuki. Israel inasema kwamba,mashambulizi hayo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

    UPDATES FROM SYRIA Kiongozi wa Waasi wa HTS ametangaza kwamba,Idara zote za Serikali isipokuwa Wizara ya ulinzi zitakuwa chini ya Waziri mkuu wa Syria mpaka hapo itakapotangazwa rasmi serikali mpya ya nchi hiyo. Hii ni baada ya Serikali ya awali ya Bashar Al Assad kuangushwa na waasi wa HTS...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

    https://aje.io/pq3n3i
Back
Top Bottom