Recent content by mtwiziiler

  1. mtwiziiler

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya mafanikio ya kudumu kwenye ndoa za Wazee wetu?

    Nimekuelewa sana mfano Mfano siku hizi mwanamke ni mtoa taarifa hawaombi ruhusa tena
  2. mtwiziiler

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya mafanikio ya kudumu kwenye ndoa za Wazee wetu?

    BINAFSI NAZIONA SABABU ZIFUATAZO [emoji117]Kushindwa kutimiza majukumu kwa kila mwanandoa [emoji117]Wanaume kuoa kutokana na msukumu wa nje [emoji117]Wanawake kupenda harusi na sio ndoa [emoji117]Baadhi ya mwanandoa kuamini kuwa ndoa ikivunjika watapata mwingine ambaye hana mapungufu kabisa au...
Back
Top Bottom