Habari WanaJF!
Nahitaji link, muhusika (supplier), mkulima au mwenye kufahamu ninapoweza kupata kwa wingi KARAFUU, UFUTA, DENGU na PILIPILI MANGA.
Nina mnunuzi tayari mkononi. Naomba msaada tafadhali pa kuanzia na bei zilizo rafiki.
Naweza kufika popote kufata mzigo kwa gharama zangu lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.