Recent content by MTU WA MAPEMA

  1. M

    JamiiForums Jamani wadau wa cpa mbona new conversion scheme simplified inatoa favor kwa wanao daiwa p15????

    Jamani wadau wa CPA(T), naona kama NBAA wameyumba kidogo, kwani kwenye new conversion simplified Mtu anayedaiwa P15 ya Module E na Module F hakufaulu, atafanya kwenye syllabus mpya Corporate Reporting C1, Perfomance Management B5, Auditing C2, hivyo ukichanganya na masomo aliyofaulu Module E...
  2. M

    JamiiForums Wadau mpango wa kutoa sarafu ya shs 500, si ndo kunaua kabisa thamani ya pesa yetu???

    mimi navyoona hatukupaswa kutoa sarafu ya shilingi 500, kama kigezo ni kuwa noti inachakaa kwanini tusingeimarisha hiyo noti kwa kuchapicha noti ya 500 yenye ubora???? ebu wadau mliosoma changieni mada hii:flame::flame:
  3. M

    JamiiForums Wadau mpango wa kutoa sarafu ya shs 500, si ndo kunaua kabisa thamani ya pesa yetu???

    mimi navyoona hatukupaswa kutoa sarafu ya shilingi 500, kama kigezo ni kuwa noti inachakaa kwanini tusingeimarisha hiyo noti kwa kuchapicha noti ya 500 yenye ubora????
Back
Top Bottom