Recent content by Mtu wa kati

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wauaji wenye sura za kitakatifu wasio na hatia kisheria

    nashukuru ujumbe kuwa umefika
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wauaji wenye sura za kitakatifu wasio na hatia kisheria

    Ni usiku wa manane ambao siwezi kuusahau katika maisha yangu,binti wa miaka kumi na saba akiwa na damu nyingi mapajani alikata roho akiwa wodini,jaribio la kutoa mimba kiharamu lilishindikana na kuamua kuchukua uhai wake na mtoto,lakini chanzo cha yote ni uzembe wa watoa huduma ya Afya kushindwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Rushwa, Urafiki, na kujuana katika Tasnia ya Habari ni kutu inayoitafuna tasnia hii bila ya wenyewe kujua

    Tasnia ya Habari ni miongoni mwa Tasnia zenye Hadhi kubwa katika Taifa letu. Waandishi wa habari na Vyombo vya habari ukiwa ndio mhimili mkubwa kabisa wa sekta hii muhimu ya kupashana habari. kadri miaka inavyozidi kwenda na teknolojia kukua ndio sekta hii inavyozidi kudidimia badala ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tulipotoka, tulipo, na tunapokwenda kama Taifa huru

    Kama taifa huru muumba wetu alikiunda kipande hiki,kama sehemu tu ya dunia yetu nzuri. Taifa hili tukufu linaaminika kuwa ni makazi ya mwanzo ya binadamu wa kale,mabaki ya watu wa kale yaliyopo Olduvai Gorge Arusha, uwepo wa mbuga za Serengeti na Ngorongoro na uwepo wa viumbe vinavyopatikana...
Back
Top Bottom