Recent content by Mtu Pori

  1. M

    JamiiForums Tanzania The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Hapo umesema kweli! Ukiwa mtetezi wa wanyonge si lazima na we uwe hohe hae kama wao! Utapimwa kwa dhati yako, ukweli wako na nia yako ya ndani ikiambatana na maneno yako. Pia vitendo vyako vinavyoshabihiana na kauli zako! Zaidi ya hayo ukiwa na rasilimali pesa una added advantage ya kuwatetea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania James Sinclair: A Friend or Foe?

    Nakuunga mkono kwa hili ki msingi! Kuna uwezekano kuwa kweli hizo hisa wamepewa tu kwa nafasi zao ili waweze kutumiwa kunyoosha mambo ya kampuni serikalini. Lakini inabidi kuthibitishwa kama ni hivyo! Cha pili sina uhakika kama kweli kuna sheria inayokataza Rais kuwa mfanyabiashara madarakani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Mi nadhani hoja ya msingi iwe ni mkataba huu aliosaini Mh. Karamagi kama una maslahi ya kweli kwa nchi na tushawishiwe na tujiridhishe kuwa huu mpya wa mwezi feb. 2007 ni tofauti na ile mingine ambayo wajanja wachache walijipatia 10% zao wakawaingiza Watanzania mkenge! Sasa basi na mimi kwa...
Back
Top Bottom