Habari za kazi wataalam wa sheria kwa jina niite mtu nguvu napatikana katika mkoa wa Kigoma.
Kuna swala moja la kisheria nilikua naomba ushauri baada ya 2003 baba angu kushinda kesi yake katika mahakama ya rufaa iliyokua inahusu kubomolewa nyumba na tajiri flani ila mpaka sasa hajakabidhiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.