Recent content by Mtu Makini TZ

  1. M

    Naomba kufahamishwa taratibu za Wakwere katika kupeleka posa

    Wazee MSAADA kuna Ndugu yetu amekata shauri la Kuoa, na Mke anayetaka kuoa kabila lao ni Wakwere. Kwa anayejua tamaduni za Wakwere kwenye kupelekewa posa na namna Barua inavyoandikwa (Kama kuna sampo itakua bora zaidi) na nini kinaambatanishwa humo.
Back
Top Bottom