Recent content by mtotofisi

  1. mtotofisi

    Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMMA katika kata ya Songambele kasema CCM oye

    Katika Hali ya kushangaza Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMA katika kata ya Songambele aliposimamishwa kumuombea Kura mumewe badala ya kusema CHAUMA OYE badala yake akasema CCM OYEEEE!!!! Ilikuwa ni úzinduzi wa kampení ya mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
  2. mtotofisi

    GE2025 Isaya Mngurumi Moses amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kongwa

    📍𝐊𝐎𝐍𝐆𝐖𝐀 🗒️ 25 𝐀𝐆𝐎𝐒𝐓𝐈 2025 Mgombea Ubunge Jimbo la Kongwa kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ndugu Isaya Mngurumi Moses amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kongwa mapema leo kwenye ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kongwa.. Pamoja nae aliambatana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa...
  3. mtotofisi

    UPDATE ya Matokeo ya Kura ya Maoni Jimbo la Kongwa

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  4. mtotofisi

    UPDATE ya Matokeo ya Kura ya Maoni Jimbo la Kongwa

    TATHIMI YA KURA ZA MAONI ZA UBUNGE NDANI YA JIMBO LA KONGWA Jumla ya kura ni 9801 Fadhili C Bwagalilo. 96 sawa na 0.98% Robi R Gairigi 97 sawa na 0.99% Baraka D mkanwa 120 sawa na 1.22% Michael G Chidaga 160 sawa na 1.63% Dr Rose Mbijima. 164 sawa na 1.67%...
  5. mtotofisi

    GE2025 Matokeo ya Kura za Maoni Kongwa Isaya Mngulumi Kawagalagaza wenzake

    Kwenye Uchaguzi wa kura za maoni CCM kwenye Jimbo la Hayati Job Yustino Ndugai, matokeo yaliyotangazwa na Karibu wa CCM wilaya ya Kongwa dr Isaya Moses Mngulumi amewashinda makada 12 Kwa kupata kura 4,436 SAWA na Asilimia 45.26 akifatiwa na Dr Samora mshang'a aliyepata kura 2,834 swa na Asilimia...
  6. mtotofisi

    UPDATE ya Matokeo ya Kura ya Maoni Jimbo la Kongwa

    Mchakato wa kura za Maoni Jimbo la kongwa hatimaye Leo Umefika mwisho baada ya Aliyeongoza kura za Maoni awali Hayati Job Ndugai kufariki Dunia . Isaya Mngulumi anaongoza"ushindi wa awali wa kura za Maoni Jimbo la kongwa! Anayefuatia kwa kura ni Dr Samora Mshang'a kwa kuwa mshindi wa pili wa...
  7. mtotofisi

    UPDATE ya Matokeo ya Kura ya Maoni Jimbo la Kongwa

    Injini aliliwa kichwa mapema sana hatà jina halikurudi
  8. mtotofisi

    UPDATE ya Matokeo ya Kura ya Maoni Jimbo la Kongwa

    Matokeo ya awali katika kata 14, matokeo yanaonyesha Isaya Mngulumi anaongoza kwenye kata zote kati ya kata 22 za Wajumbe waliopiga kura siku ya Leo. Ikumbukwe kuwa Isaya Mngulumi alishika nafasi ya pili akitanguliwa na Hayati Ndugai. Hapa ni kata ya Kibaigwa
  9. mtotofisi

    Kampení za Kumrithi Job NDUGAI zinahitimishwa Leo Jimboni Kongwa

    KONGWA. Leo ndo siku ya mwishó ya kampení za kuwania ubunge jimboni Kwa Hayati Ndugai. Hapa Ni kata yaSongambele ukiwa ni siku ya pili ya kampení zilizoanza Jana kwa kata 11 na siku ya Leo watia nia kuhitimisha kwa kata 11 zilizobaki na kesho Ijumapili ndiyo siku rasmi ya kujua nani atarithi...
  10. mtotofisi

    GE2025 Kampeni za uchaguzi kumrithi marehemu Ndugai zimeanza rasmi

    KONGWA. Kampení za uchaguzi kuwania ubunge kupitia chama Cha mapinduzi zimeanza Leo tarehe 15-8-2025, zikianzia Kata ya Kibaigwa . Wagombea wapo 13 ikiwemo 7 kati ya 10 waliowania pàmoja na Hayati Ndugai na ingizo jipya ni wagombea 6 Baada ya kifo Cha Ndugai Jumla ya watia Nia 24 walijitupa...
Back
Top Bottom