Kuna tajiri 1 tulimuuzia nyumba yetu ya urithi tulikua 6 na tulikua na nyumba 2 na shamba. Na hati zetu tuli zihifadhi mahakamani tulivyouza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwambia yule tajiri kua hati zetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nina watu wangu nitawatuma wata...
Kuna tajiri 1 tuli muuzia nyumba yetu yaurthi tulukua 6 natulikua na nyumba 2 na shamba .
Na hati zetu tuli zihifadhi mahaka mahakamani tulivyo uza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwmbia yule tahiri kua hatizetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nnawtu wangu ntawatuma...
Habari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba na tajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria kama tunaweza kufanikiwa au laa, kama mtaniruhusu plz naomba niendelelee.
===
Kuna tajiri 1 tulimuuzia nyumba yetu ya urithi tulikua 6 na tulikua na nyumba 2 na shamba. Na hati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.