Recent content by mtoto mdogo sana

  1. mtoto mdogo sana

    Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Sioni kama kutumia ChatGPT ni uraibu. ila matumizi yako ndio yanamtofautisha mtu na mtu. Kwa maelezo yako unaitumia GPT kama search engine, which is cool. ila pia kama unaitumia kupangilia vizuri mawazo yako ambayo yako scattered ni jambo zuri... GPT ni tool kama zilivyo nyingine tu...
  2. mtoto mdogo sana

    Kwanini nyumba nyingi za Dar zinauzwa na Benki?

    Mkuu, kila sehemu wapo wataalam wa ku-manipulate mifumo siku zote wapo. Hata Black Sniper anavorejea kauli yangu ameelewa nilichokizungumza. Kila mifumo yenye vigezo na masharti, kuna wataalamu wanaopita neno kwa neno kutafuta udhaifu wapite na fursa. Bank ni kweli siku zote huwa inatoa...
  3. mtoto mdogo sana

    Kwanini nyumba nyingi za Dar zinauzwa na Benki?

    Ndio.. lakini bank hawana mchezo.. Hawakupi mkopo wenye thamani sawa na nyumba. Nyumba ya 45M, utapewa mkopo 26M ili ikiuma, ing'ate kwako
  4. mtoto mdogo sana

    Kwanini nyumba nyingi za Dar zinauzwa na Benki?

    Ee mkuu. Kuna watu walikuw wanatarget nyumba za watu. Hata kama mtu angelipa mkopo, Afisa anachzesha "SI" makato yanagoma kupita kwa siku 90, kwa sheria inabidinmteja akiingia "arrear" siku 90, anapelekwa kwa dalali
  5. mtoto mdogo sana

    Kwanini nyumba nyingi za Dar zinauzwa na Benki?

    Mikopo hiyo ipo, ila huwa ni Mahsusi kwa waajiliwa wa serikali na Taasisi zenye dhamana kubwa Unapata mkopo kwa hatua za kumalizia ujenzi wa nyumba yako. Malipo yanaweza kufika hadi miaka 20. Inafaa kwa wateja walioko kwenye ajira rasmi au wenye biashara zao. Zinahitaji dhamana (mara nyingi...
  6. mtoto mdogo sana

    Kwanini nyumba nyingi za Dar zinauzwa na Benki?

    Hii huwa inatokea sana. Ila ni matokeo ya uzembe au njama ya Loan Officers. Pia huwa inatokana na rushwa... Kwa mfano mtu anamfuata Loan Officer, anamuambia anataka mkopo Million 150, kisha Afisa atakula 10M akiupitisha. Pia makadirio ya thamani ya Collateral yanatokana na Location. Kwa mfano...
  7. mtoto mdogo sana

    Kwanini nyumba nyingi za Dar zinauzwa na Benki?

    Mifumo ya mikopo ya bank, Mara nyingi ni kwamba, uwe na chanzo cha pesa cha kupata marejesho. Chanzo hicho kiwe nkinajitosheleza kupata thamani ya rejesho kulingana na muda mlioahidiana. Kwa mfano, biashara, turn-over itoshe ku retain mtaji, faida na rejesho. Na pia kuwe na Collateral kama...
  8. mtoto mdogo sana

    Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

    Mkuu kuna benkinzina utaratibu wa kuja Kwenye shule za advance kuwafungulia watoto waliofika umri wa miaka 18. Akaunt hizo huwa wanafunguliwa bure na wanapewa kadi za ATM zenye hadhi ya VISA au MASTERCARD ili waweze kutoa pesa kwenye ATM Machine za bank yoyote. Nikichukulia mfano wa NMB huwa...
  9. mtoto mdogo sana

    "Kila anguko lina inuko lake"

    Mkuu Stori ilianzia https://www.jamiiforums.com/threads/njooni-tukumbuke-nyakati-ngumu-tulizowahi-pitia.1807834/post-37242042 Kisha ikaendelea kwenye uzi wangu https://www.jamiiforums.com/threads/nilikuwa-mmoja-wa-wale-watoto-machokoraa-mwanza-mwaka-2010-2011.1809817/
  10. mtoto mdogo sana

    "Kila anguko lina inuko lake"

    Not a day goes by bila mm kukumbuka asilo yangu. Najua siwez kusaidia kila mtu, ila wale nitakaoweza kuwasaidia nitahakikosha wanasaidika
  11. mtoto mdogo sana

    "Kila anguko lina inuko lake"

    Wazo lako mbona la kibepari sana mkuu
  12. mtoto mdogo sana

    "Kila anguko lina inuko lake"

    Sio namna hiyo. Lakini maisha yamechukua sura mpya. At least kuna mategemeo
  13. mtoto mdogo sana

    Waliojiajiri wana furaha sana kuliko walioajiriwa

    Nobody is safe. Kila mtu ana stress. Hata waliojiajiri, wengi ni wateja wa mikopo kwenye taasisi mbali mbali... Wanaumizwa na stress za marejesho
Back
Top Bottom