Recent content by Mtinya John

  1. M

    JamiiForums Tanzania TBS na rushwa ya ngono

    Tazama gari hili hapa chini alilokataa mkurugenzi wa TBS
  2. M

    JamiiForums Tanzania TBS na rushwa ya ngono

    Eti wanadai hawana vifaa vya kupima spare za magari lakini hivi karibuni wamenunua magari ya Kifisadi ili wapate ten % tazama hii picha ya gari .gari la mkugenzi nizuri lakini amelikataa amenunua la 300,000,000/=
  3. M

    JamiiForums Tanzania TBS na rushwa ya ngono

    Hiyo cha mtoto, hawa jamaa wameweka mawakala wawafanyie kazi ya kuwakagulia bidhaa nje ya nchi kifisadi pia unapoleta bidhaa kama spare za magari bila ukaguzi wanakupiga faini kubwa ajabu,huku mlolongo wa kuilipa hiyo faini mpaka utoe rushwa kwa mkurugenzi ndipo uingize ,sasa mimi najiuliza...
Back
Top Bottom