Recent content by mti mnene

  1. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Inawezekana, chakwanza unapoandika barua ya kuomba kazi kama ni mwajiriwa wa serikali, lazima barua yako ipitie kwa Mwajiri wako
  2. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hakunaga position inayoitwa makam katibu, rekebisha kauli. Inaonekana unaongea kitu cha kusimuliwa
  3. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ukiwa unaandika application letter waambie hauko tayar kufanya kazi halmashauri.
  4. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tatizo kwenye huu uzi kuna watoto waliomaliza chuo 2022 hadi 2023 wana expectations kubwa sana, ndo wanaoharibu
  5. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hiyo sio njia sahihi kabisa, ndomana had dakika hii hadi higher learning institutions zinazo offer online education lazima mwanafunzi aende phyisically kufanya mtihan. Hata ACCA wenyewe ambao ni moja ya reputable Accounting proffession board in the world, mitihan yao lazima ufanye physically na...
  6. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Congratulation mkuu, hizo ndo shuhuda tunazotaka, Kila siku tunawaambiaga watu wawe na Iman na psrs tunaishia kuonekana mawakala wao.
  7. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nadhan kwanzia Leo utakua na Iman na PSRS
  8. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huyo mdau wako sio wewe kweli, any way aendelee kuwa mvumilivu. ataitwa tu
  9. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wengi sana walipata fair, hata paper zao ukichemka unaona kabisa umechemka,
  10. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Possibly Kuna watu hata interview wanaweza wakawa hawakufanya na wameitwa kazini. Utumishi wanamapungufu Yao ila wapo fair.
  11. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    taratibu tutaanza kuelewana, waliokua wanakomaa taasisi ziruhusiwe kuajiri zenyewe watakua wameanza kuelewa.
  12. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Acha kupotosha, ajira zote za wizara ya Afya ambazo huwa za Miradi( fedha hulipwa na wafadhili) huwa waajiri wizara wenyewe miaka na miaka.
  13. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wanaopelekwa na TAESA mara nyingi intern zao zinakua na ukomo, nimeongea kitu nilichofanyia utafiti
  14. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Na hauwez kujitolea kwenye taasisi kama NSSF, EWURA, TRA kama hauna Connection. Madhara ya taasisi kuajiri zenyewe ndo yanaonekana.
Back
Top Bottom